Majibu Yetu-Our Answers
Friday, February 8, 2013
KAFIRI NI NANI?
›
Swali: Naitwa mwinjilisti Onesmo, Kwanini nyie waislamu mnatuita sisi wakristo makafiri? Jibu: Nashkuru kwa swali lako. Hatuwaiti hivy...
Wednesday, November 14, 2012
Yesu alibatizwa? Na Je, Biblia Imeruhusu Ala Za Muziki Na Misalaba Kanisani
›
SWALI: Je ni kweli Yesu Alibatizwa? Na Je, Biblia Imeruhusu Ala Za Muziki Na Misalaba Kanisani? JIBU: Shukrani zetu za dhati kwa swali ...
Yesu ni Alfa na Omega?
›
SWALI: Mbona nyie waislamu mnakataa kwama Yesu si Mungu wakati yeye anasema kuwa ni Alfa na Omega? JIBU: Ni kweli kuwa katika Kitabu ch...
Waislamu Wanaamini Nini Kuhusu Yesu?
›
SWALI: NATAKA KUJUA KUWA WAISLAMU MNAAMINI NINI HASA KUHUSU YESU? JIBU: Waislamu wanamheshimu na kumtukuzasana Yesu (‘Alayhis Salaam). w...
1 comment:
Krismasi ina Ushahidi wa Biblia?
›
SWALI: Mimi ni mkristo nimekuwa nikiwauliza viongozi wangu wa kiriho lakini sipati jibu lenye hoja, na wengine huniambia kuwa katika dini y...
Tuesday, November 13, 2012
Naomba ushahidi wa utume wa YESU (A.S)..
›
SWALI: Hello "Majibu Yetu", Mimi ni mkristo lakini huwa nasikia mkisema kuwa Yesu ni mtume tuu na kuna rafiki yangu mwislamu alin...
Friday, October 26, 2012
Hutba ya mwisho ya Mtume!!
›
Swali: Assalaam aleykum,Mimi ni mwislamu na naomba mnijuje hutba ya mwisho ya Mtume (S.A.W). Jibu: Kila nikiisoma khutba hii huhisi kama...
Saturday, October 6, 2012
Jina la Tanzania lilitungwa na mwislamu?
›
Swali: Hello, mimi naitwa Getruda naishi zanzibar. Swali langu ni "eti ni kweli jina la Tanzania liliundwa na mwislamu?" JIBU:...
Wednesday, July 11, 2012
Kaa & Kamba ni halali?
›
Swali: Waislamu tunaruhusiwa kula Kaa na Kamba wa baharini? Jibu: MwenyeziMungu anasema; 5:96. Nyinyi mmehalalishiwa kuvua vinyama vy...
Thursday, July 5, 2012
Are there hadiths about cutting beards?
›
Question: Asalaam Aleykum, Am a muslim and my question is "Are there hadiths about cutting beard and trimming mustaches?" Answer...
›
Home
View web version