Swali:
Waislamu tunaruhusiwa kula Kaa na Kamba wa baharini?
Jibu:
MwenyeziMungu anasema;5:96. Nyinyi mmehalalishiwa kuvua vinyama vya baharini na kuvila, kwa faida yenu na kwa wasafiri...
Kutokana na aya hiyo ni kwamba wanyama wapatikanao baharini ni halali.
Wapo wanaosema kuwa KAA (Crab) ni haramu lakini mpaka sasa hatujapata ushahidi wowote kutoka katika Quran & Hadithi sahihi kuharamisha ulaji wake.
No comments:
Post a Comment