Monday, April 30, 2012

Do any authentic Hadith's exist that say Jesus was not the Messiah (The annointed one)?

Swali:
Do any authentic Hadith's exist that say Jesus was not the Messiah?


Jibu:
Anayeshangaa Yesu kuitwa masihi hata mtoto mdogo atamcheka.

Na sio hadithi tuu, Mwenyezi Mungu mwenyewe anamwita Yesu Masihi.

Labda nikupe mifano:
1-Quran 3:45 “Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu)”
2-(Qur’an 4:171)... Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. 
3- Quran 4:157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu.
Just for your information, neno masihi(messiah) limetumika mara kumi na moja(11) katika Quran Tukufu.

No comments:

Post a Comment

Animated Social Gadget - Blogger And Wordpress Tips Twitter Bird Gadget