Thursday, April 26, 2012

Kwanini msimtumainie Mungu badala ya Allah?

Swali:
Kwanini waislamu msimtumainie Mungu wa kweli badala ya Allah?


Jibu:
Sasa labda nikukumbushe maana ya Allah.

Allah ni neno la kiarabu linalomaanisha Mwenyezi Mungu mmoja

Neno hili la Allah pia hutumika na wakristo wa kiarabu katika ku-identify miungu mitatu kama ifatavyo;
- Allāh al-ʾab (الله الأب) - Hii humaanisha Mungu baba
- Allāh al-ibn (الله الابن) - Mungu mwana (Yesu)
- Allāh ar-rūḥ al-quds (الله الروح القدس) - Mungu Roho Mtakatifu


Ni kweli kwamba waarabu washirikina walikuwa chief god among the numerous idols (360) in the Kaaba in Mecca before Mtume Muhammad made them into monotheists (of oneness of ALLAH).

Baada ya kukujulisha uhalisia wa neno Allah (Mungu) napenda nikujuze kuwa waislamu pia tunaamini kuwa Mungu ni Mmoja na we use the same same arabic word which also arabic Christians use for Allah.


Just only in Islam there is nothing like Mungu baba - Allāh al-ʾab (الله الأب), mwana wala roho mtakatifu.

Only Allah, standing for ONENESS of itself meaning the Almighty GOD.

No comments:

Post a Comment

Animated Social Gadget - Blogger And Wordpress Tips Twitter Bird Gadget