Quran 18: 86 Till, when he (the traveller Zul-qarnain) reached the setting-place of the Sun, he found it going down into a muddy spring…
Toka lini jua likazama kwenye matope?
JIBU:NAIANDIKA HIYO AYA HAPA KWA KISWAHILI ILI WENGINE PIA WAPATE KUIFAHAMU
18:86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.
SASA HEBU TUANGALIE TAFSIRI YAKE:86. Akenda mpaka akafika pahala mbali huko upande wa magharibi, akalikuta jua kwa linavyo onekana kwa macho kama kwamba linazama pahala penye chemchem ya maji ya moto na matope meusi. Na karibu ya chemchem hii Dhul- Qarnaini aliwakuta watu makafiri. Mwenyezi Mungu akamtia moyoni mwake afanye mojapo ya mambo mawili: Ama awaite kwenye Imani, na hili kwa hakika ni jambo zuri; au awapige vita ikiwa hawakuitikia wito wa Imani.
LINK YA HIYO COMMENTARY NI HAPA http://www.quranitukufu.net/c18.html#86
No comments:
Post a Comment