Andiko gani katika biblia linadhihirisha kuwa baada ya kufanya tendo la ndoa mtu akoge?
Jibu:
Andiko ni hili "Na mtu yeyote akitokwa na shahawa yake, ndipo ataoga mwili wake wote majini, naye atakuwa najisi hata jioni. Na kila nguo na kila ngozi, ambayo ina shahawa itafuliwa kwa maji itakuwa najisi hata jioni. Huyo mwanamke naye ambaye mtu mume amelala naye kwa shahawa, wote wawili wataoga majini, nao watakuwa najisi hata jioni.(Mambo ya Walawi 15:16-18)".
No comments:
Post a Comment