Kwanini waislamu mnawatenga wake zenu wakiwa katika hedhi?
Swali:
Kwanini waislamu mnawatenga wake zenu wakiwa katika hedhi?
Jibu:
Ni kweli kuwa tumeambia na Allah kuwa tusiwakaribie wanawake wakiwa katika hedhi, lakini sio Quran na hadithi tu bali hata Biblia ina andiko linalokataza pia.
Andiko linalokataza ukaribu nao wakiwa katika hedhi ni hili "Mwanamke yeyote,
kama anatokwa na kitu, na kitu chake alichokuwa
nacho mwilini mwake ni damu, ataketi katika kutengwa kwake muda wa siku saba na
mtu yeyote atakayemgusa atakuwa najisi hata jioni. (Mambo ya Walawi 15:19)".
Animated Social Gadget - Blogger And Wordpress Tips
No comments:
Post a Comment