Swali:
Je ni kweli kuwa kuna andiko kwenye Biblia linalodhihirisha kuwa mashoga wauwawe?.
Jibu:
Andiko hili hapa "Mambo ya walawi 20:13 "Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
No comments:
Post a Comment