Kwanini dini yenu hairuhusu wanawake kusalisha wanaume misikitini?
Jibu:
Sio kusalisha tuu bali hata biblia imekataza kabisa kuongea au kufundisha kanisani.
Ushahidi wa Biblia:
Wanawake na
wanyamaze katika kanisa maana hawana ruhusa kunena bali watii kama
vile inenavyo Torati nayo. Nao wakitaka kujifunza neno lolote, nawawaulize waume
zao wenyewe nyumbani mwao, maana ni aibu wanawake kunena katika
kanisa.(1 Wakorintho 14:34-35).
No comments:
Post a Comment