Swali:
Kuna waislamu wanadai eti sikukuu ya idi imetajwa kwenye biblia, je mwaweza nipa hilo andiko linalotaja siku ya Idi?
Jibu:
Ni kweli kabisa kuwa mkutano/sikukuu ya Idi imetajwa katika biblia kama ifatavyo "Mtafanya nini katika siku ya mkutano wa Idi; na katika siku ya karamu ya Bwana?(Hosea 9:5).
maana yake ni nini
ReplyDeletemaana yake ni nini
ReplyDelete